Blog

Safari ya Mhitimu wa SUA Kuelekea Ujasiriamali wa Bidhaa Zitokanazo na Rasilimali  Nyuki

Katika picha, aliyeshika chupa za asali ni Dwasi Denis Johnson, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Anatumia ujasiriamali wa bidhaa zitokanazo na rasilimali nyuki, kama asali ya nyuki wakubwa na wadogo, katika maonesho ya Wiki ya Mwanakatavi ambayo hufanyika kila mwaka mkoani Katavi. Maonesho haya yana lengo la kuwakutanisha […]

Malkia Nyuki

[pdf-embedder url=”https://www.mizengopinda.sua.ac.tz/wp-content/uploads/2024/04/FINAL-Malkia-Nyuki-.pdf” title=”FINAL Malkia Nyuki”]

Student Government Leader Donates Study Benches to Enhance Campus Life.

  William Cosmas Bulongo, Chairperson of the Sokoine University of Agriculture Student Organisation (SUASO), Mizengo Pinda Campus, recently presented study benches to the Mizengo Pinda Campus Board. This donation highlights the student body’s commitment to improving campus facilities and supporting the university’s development. These study benches represent the collaborative spirit between students and the university […]

Mafunzo Elekezi kwa Wafanyakazi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kuhusu Ujazaji wa Mfumo wa Taarifa za Utendaji Kazi na Usimamizi wa Wafanyakazi wa Umma (PEPMIS).

Mafunzo ya kipekee yaliyofanyika katika Kampasi ya Mizengo Pinda yameleta mwanga mpya kwa wafanyakazi. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Naibu Rais Mipango, Utawala na Fedha, yalilenga kuwajengea uwezo wafanyakazi katika ujazaji wa Mfumo wa Taarifa za Utendaji Kazi na Usimamizi wa Wafanyakazi wa Umma (PEPMIS). Afisa Tawala Mkuu, Ndugu Holymisidasi Njungani, aliongoza mafunzo hayo, […]