February 6, 2023

Day

Dr. Mshindo Msolla alipata nafasi hiyo ya kutembelea Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda wakati ya ziara yake ya kuwaendeleza wakulima wa nyanda za juu kusini kwa kuwaelimisha matumizi bora ya mbolea katika mazao. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof. Josiah Katani akiwa  na mgeni wake Dr. Mshindo Msolla  Mkurugenzi...
Read More