Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mheshimiwa Gerald Mongera, amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kwa kuwa mstari wa mbele katika kuleta mapinduzi ya kiteknolojia kwenye sekta ya ufugaji nyuki nchini kupitia mafunzo ya vitendo na bidhaa bora. Pongezi hizo amezitoa leo alipotembelea banda la kampasi hiyo katika Maadhimisho ya...Read More
Katika juhudi za kuendeleza hamasa ya kielimu na kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na jamii, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kimefanya ziara maalum katika shule za sekondari zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi. Lengo kuu la ziara hiyo limeelezwa kuwa ni kuwajengea wanafunzi morali ya...Read More
Katika jitihada za kusogeza elimu ya juu karibu na jamii na kuibua hamasa ya kimasomo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Kampasi yake ya Mizengo Pinda, kimehitimisha ziara maalum ya utoaji wa hamasa na elimu ya udahili katika shule kumi (10) za sekondari ndani ya Halmashauri ya Mpimbwe. Ziara hiyo ililenga mahususi wanafunzi...Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, Dkt. Zacharia Malley, ameongoza shughuli ya upandaji miti katika kampasi kama ishara ya kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhifadhi mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Dkt. Zacharia Malley, Mwenyekiti wa Bodi, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),...Read More
On February 19, 2026, thirty-eight final year students pursuing a Bachelor of Science in Bee Resources Management at the Mizengo Pinda Campus of Sokoine University of Agriculture (SUA) successfully defended their Special Project (SP) proposals at the Campus Conference Hall. The academic exercise was supervised by the Head of the Department of Natural Resources Management...Read More
Mizengo Pinda Campus, Sokoine University of Agriculture—21 November 2025 Sokoine University of Agriculture (SUA), Mizengo Pinda Campus, has concluded a week-long orientation programme aimed at equipping first-year students with the knowledge, values, and life skills they need to succeed at university and beyond. The orientation week, held from 17 to 21 November 2025, brought together...Read More
The District Commissioner of Mlele, Hon. Alhaj Majid Mwanga, conducted an official visit to the Mizengo Pinda Campus of Sokoine University of Agriculture (SUA) in Katavi Region to inspect the progress of two key infrastructure projects currently under construction. The projects include a modern academic building and a student dormitory; both being constructed by TIL...Read More
Katavi Regional Commissioner, Hon. Mwanamvua Mrindoko, has encouraged young people, particularly graduates from higher learning institutions, to take advantage of existing entrepreneurial opportunities for self-employment and economic empowerment. Hon. Mrindoko made these remarks during her visit to the exhibition booth of Sokoine University of Agriculture (SUA) – Mizengo Pinda Campus, as part of activities marking...Read More
As part of ongoing efforts to enhance higher education and research, Prof. Robinson Mdegela and Prof. Gration Rwegasira have conducted a special capacity building workshop for academic staff and researchers at the Mizengo Pinda Campus. The workshop officially commenced today, April 7, 2025, at the Campus Conference Hall. The main objective of this workshop is...Read More
Students from the Mizengo Pinda Campus (MPC) of Sokoine University of Agriculture (SUA) have gained invaluable hands-on experience in seed production through a collaboration with Empien Company Limited, a producer of DK maize seeds. As part of their Diploma in Crop Production and Management program, the students embarked on an academic field trip to Empien...Read More