February 26, 2026

Day

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, Dkt. Zacharia Malley, ameongoza shughuli ya upandaji miti katika kampasi kama ishara ya kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhifadhi mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Dkt. Zacharia Malley, Mwenyekiti wa Bodi, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),...
Read More