Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awaongoza wafanayakazi na wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda katika zoezi la upimaji wa usikivu wa masikio

Zoezi la upimaji wa usikivu liliratibiwa na Watalamu kutoka Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET).

Mtaalamu wa afy ya masikio Mr Lukonge John akimfanyia vipimo Prof Josiah Katani katika zoezi la upimaji wa usikivu wa masikio

Katika picha ni baadhi ya watumishi wa Kampasi ya Mizengo Pinda waliojitokeza katika zoezi la upimaji wa usikivu wa masikio

Katika picha ni baadhi ya wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda waliojitokeza katika zoezi la upimaji wa usikivu wa masikio

Related Posts

DC MONGERA APONGEZA UBUNIFU WA SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA MAADHIMISHO YA WIKI YA NYUKI TABORA

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mheshimiwa Gerald Mongera, amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda,...

SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA YAZITIKISA SHULE ZA SEKONDARI MLELE: YAHAMASISHA TAALUMA NA KUTANGAZA FURSA ZA UDAHILI

Katika juhudi za kuendeleza hamasa ya kielimu na kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na jamii, Chuo Kikuu cha...

SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Yachochea Ndoto za Wanafunzi Halmashauri ya Mpimbwe kupitia Ziara ya Hamasa.

Katika jitihada za kusogeza elimu ya juu karibu na jamii na kuibua hamasa ya kimasomo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha...