Katika zoezi hilo, Prof. Katani aliambatana na Naibu Rasi wa Ndaki Mipango, Utawala na Fedha Prof. Jeremia Makindara, Bwana Shamba wa Kamapasi ya Mizengo Pinda ndugu Tambalu Alphonsi pamoja na […]
To capacitate students with practical skills of solving problems using scientific procedures and research ethics, students are assessed their ability and understanding on subject matter planned for research. The current […]
Prof John Jeckoniah, Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa wafanyakazi na wawakilishi wa […]
Suala hilo limewekwa wazi na Mh Nape Nnauye, Mbunge na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa kwake katika taarifa fupi ya […]
Kuwepo kwa Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi kumesaidia kuwafikia Wafugaji wa Nyuki ili kutoa elimu ya namna bora ya ufugaji wenye kuleta tija tofauti na ilivyokuwa awali kwani wakulima […]