Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mheshimiwa Gerald Mongera, amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kwa kuwa mstari wa mbele katika kuleta mapinduzi ya kiteknolojia kwenye sekta ya ufugaji nyuki nchini kupitia mafunzo ya vitendo na bidhaa bora. Pongezi hizo amezitoa leo alipotembelea banda la kampasi hiyo katika Maadhimisho ya […]










