Blog

Dr. Florens Turuka Katibu Mkuu Mstaafu aliyehudumu Wizara mbalimbali atembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na  ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Thelathini ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Dr. Florens Turuka akisaini kitabu cha […]

Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko ajifunza Kuhusu Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko  alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.

Mkuu wa mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko atembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya  bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara baada ya kupatiwa maelezo juu ya bidhaa hizo, Mhe. Mrindoko alizawadiwa mafuta ya alizeti. Mhe. Mwanamvua Mrindoko akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka Kwa […]

Viongozi wapya wa Serikali ya wanafunzi kampasi ya Mizengo Pinda wala kiapo cha kuitumikia Serikali ya wanafunzi kabla ya kuanza kutekeleza majukumu yao

Hafra fupi ya kuwaapisha viongozi wapya wa Serikali ya wanafunzi kampasi ya Mizengo Pinda iliongozwa na Prof Anna Sikira (Naibu Rasi Taaluma Kampasi ya Mizengo Pinda). Mara baada ya zoezi la kuwaapisha viongozi hao, Prof Sikira alipata wasaa wa kutoa nasaha fupi kwa viongozi wote waliokula kiapo cha uongozi, ambapo amewataka viongozi walioapishwa  kuiongoza Serikali […]

Herbaria Preparation

Students Pursuing BSc. Bee Resources Management in Ecological and Botanical Survey

First year students pursuing a Bachelor of Science in Bee Resources Management at Sokoine University of Agriculture, Mizengo Pinda Campus, got an opportunity to visit the Uluguru Mountains. This is part of their Field Practical Training which allows them to put their knowledge and skills into practice in a real-world environment. The practical sessions included […]