SUA, Mizengo Pinda Campus College Inawakaribisha Watu Wote Kutembelea Mabanda Ya Chuo Katika Maonesho Ya Thelathini Ya Wakulima, Wafugaji Na Wavuvi (NANE NANE).

Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA), Kampasi Ya Mizengo Pinda Inawakaribisha Watu Wote Kutembelea Mabanda Ya Chuo Katika Maonesho Ya Thelathini Ya Wakulima, Wafugaji Na Wavuvi (NANE NANE)   Yanayo Fanyika Kitaifa  Katika Viwanja Vya John Mwakangale Jijini Mbeya Kuanzia Tarehe 01/08/2023 Wote Mnakaribishwa.

 

 

 

 

 

 

Related Posts

DC MONGERA APONGEZA UBUNIFU WA SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA MAADHIMISHO YA WIKI YA NYUKI TABORA

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mheshimiwa Gerald Mongera, amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda,...

SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA YAZITIKISA SHULE ZA SEKONDARI MLELE: YAHAMASISHA TAALUMA NA KUTANGAZA FURSA ZA UDAHILI

Katika juhudi za kuendeleza hamasa ya kielimu na kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na jamii, Chuo Kikuu cha...

SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Yachochea Ndoto za Wanafunzi Halmashauri ya Mpimbwe kupitia Ziara ya Hamasa.

Katika jitihada za kusogeza elimu ya juu karibu na jamii na kuibua hamasa ya kimasomo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha...