August 5, 2023

Day

Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko  alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
Read More
Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya  bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara baada ya kupatiwa maelezo juu ya bidhaa hizo, Mhe. Mrindoko alizawadiwa mafuta ya alizeti. Mhe. Mwanamvua Mrindoko akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka Kwa...
Read More