Yahaya Ibrahimu

By

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mheshimiwa Gerald Mongera, amekipongeza Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kwa kuwa mstari wa mbele katika kuleta mapinduzi ya kiteknolojia kwenye sekta ya ufugaji nyuki nchini kupitia mafunzo ya vitendo na bidhaa bora. Pongezi hizo amezitoa leo alipotembelea banda la kampasi hiyo katika Maadhimisho ya...
Read More
Katika juhudi za kuendeleza hamasa ya kielimu na kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na jamii, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kimefanya ziara maalum katika shule za sekondari zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi. Lengo kuu la ziara hiyo limeelezwa kuwa ni kuwajengea wanafunzi morali ya...
Read More
Katika jitihada za kusogeza elimu ya juu karibu na jamii na kuibua hamasa ya kimasomo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Kampasi yake ya Mizengo Pinda, kimehitimisha ziara maalum ya utoaji wa hamasa na elimu ya udahili katika shule kumi (10) za sekondari ndani ya Halmashauri ya Mpimbwe. Ziara hiyo ililenga mahususi wanafunzi...
Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, Dkt. Zacharia Malley, ameongoza shughuli ya upandaji miti katika kampasi kama ishara ya kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhifadhi mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Dkt. Zacharia Malley, Mwenyekiti wa Bodi, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),...
Read More
On February 19, 2026, thirty-eight final year students pursuing a Bachelor of Science in Bee Resources Management at the Mizengo Pinda Campus of Sokoine University of Agriculture (SUA) successfully defended their Special Project (SP) proposals at the Campus Conference Hall. The academic exercise was supervised by the Head of the Department of Natural Resources Management...
Read More
Mizengo Pinda Campus, Sokoine University of Agriculture—21 November 2025 Sokoine University of Agriculture (SUA), Mizengo Pinda Campus, has concluded a week-long orientation programme aimed at equipping first-year students with the knowledge, values, and life skills they need to succeed at university and beyond. The orientation week, held from 17 to 21 November 2025, brought together...
Read More
SUA na Halmashauri ya Mpimbwe Waadhimisha Siku ya Wanawake, Profesa Sikira Atoa Wito wa Elimu na Utunzaji wa Mazingira Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) iliungana na wanawake wa Halmashauri ya Mpimbwe katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani. Tukio hili lililenga kusherehekea mafanikio ya wanawake na kuhamasisha umoja katika...
Read More
Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, Awapongeza Wanawake Katika Siku ya Wanawake Duniani. Dunia inaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi kila mwaka. Siku hii ni muhimu kwa kutambua mchango wa wanawake katika jamii na kuhamasisha usawa wa kijinsia. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, ameungana na jamii...
Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kipo katika hatua ya kuboresha mitaala ya Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki na Stashahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Ili kuhakikisha mafanikio ya mchakato huu, chuo kilifanikiwa kuandaa warsha muhimu na wadau wa elimu Mkoani Tabora tarehe 22.12.2023. Lengo...
Read More
The Mizengo Pinda Campus shone brightly at the 42nd Sokoine University of Agriculture (SUA) Graduation Ceremony on Thursday, November 23rd, 2023, at the Edward Moringe Campus in Morogoro. The ceremony saw the Chancellor of SUA, Hon. (Rtd.) Justice Joseph Sinde Warioba confer the degree and non-degree awards to a graduating class filled with talented and...
Read More
1 2 3 4 5