December 23, 2023

Day

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kipo katika hatua ya kuboresha mitaala ya Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki na Stashahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Ili kuhakikisha mafanikio ya mchakato huu, chuo kilifanikiwa kuandaa warsha muhimu na wadau wa elimu Mkoani Tabora tarehe 22.12.2023. Lengo...
Read More