Katika juhudi za kuendeleza hamasa ya kielimu na kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na jamii, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kimefanya ziara maalum katika shule za sekondari zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi. Lengo kuu la ziara hiyo limeelezwa kuwa ni kuwajengea wanafunzi morali ya...Read More