Rasi Wa Ndaki Ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awataka Wakuu wa Idara wa Kampasi hiyo kutimiza wajibu wao.

Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awataka wakuu wa idara kutimiza wajibu wao. Ameyasema hayo wakati akipokea taarifa za utendaji kazi kutoka katika idara za Uendeshaji na idara za Taaluma za Kampasi hiyo katika kikao cha Wakuu wa Idara kilichofanyika leo tarehe 18 – 10 – 2022.

Pia Prof Katani amewataka wakuu hao kushirikiana vyema ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika maeneo yao na kujiwekea malengo.

Related Posts

Development in Progress: DC Mwanga Inspects Academic and Dormitory Buildings at SUA Mizengo Pinda Campus

The District Commissioner of Mlele, Hon. Alhaj Majid Mwanga, conducted an official visit to the Mizengo Pinda Campus of Sokoine...

Youth Should Embrace Entrepreneurship Opportunities – RC Mrindoko

Katavi Regional Commissioner, Hon. Mwanamvua Mrindoko, has encouraged young people, particularly graduates from higher learning institutions, to take advantage of...

Capacity Building Workshop for Academic Staff and Researchers

As part of ongoing efforts to enhance higher education and research, Prof. Robinson Mdegela and Prof. Gration Rwegasira have conducted...