Kampasi ya Mizengo Pinda (SUA) mkoani Katavi yasaidia kufikisha Elimu na Uelewa juu ya mazao mengine yatokanayo na Nyuki mbali na Asali

Kuwepo kwa Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi kumesaidia kuwafikia Wafugaji wa Nyuki ili kutoa elimu ya namna bora ya ufugaji wenye kuleta tija tofauti na ilivyokuwa awali kwani wakulima wengi wamekuwa wakifuga bila kuzingatia taratibu muhimu na kukosa uelewa juu ya mazao mengine yatokanayo na nyuki mbali na asali.

Read More From the following link: http://suamedia1994.blogspot.com/2022/12/ndaki-ya-mizengo-pinda-sua-mkoani.html?m=1

Related Posts