Blog

Head of the Department of Natural Resources Management and Conservation, Ms. Happiness Charles Bupamba has overseen the presentation of a special project for third-year students (Bachelor of Science in Bee Resource Management)

To capacitate students with practical skills of solving problems using scientific procedures and research ethics, students are assessed their ability and understanding on subject matter planned for research. The current intake has focused their research in bee resources commercialization, the interaction of human and natural resources, science of different organisms including insects, plants and animals. […]

Wafanyakazi na Wawakilisji wa Wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Wapatiwa Elimu ya Masuala ya Kijinsia Na Wataalamu Wabobevu Kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo

Prof John Jeckoniah, Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa wafanyakazi na wawakilishi wa wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Mtaalamu wa masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) Prof John Jeckoniah […]

Tatizo la Mawasiliano ya simu na Mtandao wa Intaneti katika Kampasi ya Mizengo Pinda na kata ya Kibaoni Mkoani Katavi kwa ujumla kupatiwa ufumbuzi

Suala hilo limewekwa wazi na Mh Nape Nnauye, Mbunge na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa kwake katika taarifa fupi ya kampasi ya Mizengo Pinda iliyowasilishwa kwake na Rasi wa Kampasi Prof Josia Katani. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Prof. Josiah Katani akitoa taarifa fupi […]

A Tracer Study Tool for SUA Graduates

TO OUR DEAR GRADUATES Kindly complete this questionnaire accurately and truthfully. Your responses will be used for research purposes to assess employability and eventually, improve the curriculum of the programs offered at the Sokoine University of Agriculture( SUA). Your answers to this survey will be treated with the utmost confidentiality. Thank you in advance Form Link : https://forms.gle/XuGrjgGF2uizFFt78

A Tracer Study Tool For SUA Graduate Employers

TO  ESTEEM EMPLOYERS OF SUA  GRADUATES! Kindly complete this questionnaire accurately and truthfully. Your responses will be used for research purposes to assess employability and eventually improve the curriculum of the programs offered at the Sokoine University of Agriculture( SUA) or develop new curricula. Your answers to this survey will be treated with the utmost confidentiality. Thank […]

Madiwani Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Watembelea Kampasi ya Mizengo Pinda

Madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wamefanya ziara fupi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, madiwani hao waliongozana na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo pamoja na mwenyeji wao mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mh. Silas Ilumba na mkurugenzi wa Halmashauri ya […]