Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda atembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Prof Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane

Prof Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa Ndugu Naftari Leha ambaye ni Mwanafunzi anayetarajia kuhitimu mwaka huu katika Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda

Prof Adolf Mkenda akipokea zawadi ya asali na mafuta ya alizeti kutoka kwa Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara kwa niaba ya Chuo 

 

Related Posts

Development in Progress: DC Mwanga Inspects Academic and Dormitory Buildings at SUA Mizengo Pinda Campus

The District Commissioner of Mlele, Hon. Alhaj Majid Mwanga, conducted an official visit to the Mizengo Pinda Campus of Sokoine...

Youth Should Embrace Entrepreneurship Opportunities – RC Mrindoko

Katavi Regional Commissioner, Hon. Mwanamvua Mrindoko, has encouraged young people, particularly graduates from higher learning institutions, to take advantage of...

Capacity Building Workshop for Academic Staff and Researchers

As part of ongoing efforts to enhance higher education and research, Prof. Robinson Mdegela and Prof. Gration Rwegasira have conducted...