August 7, 2023

Day

Prof Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane Prof Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa Ndugu Naftari Leha ambaye ni Mwanafunzi anayetarajia kuhitimu mwaka huu katika Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki katika Chuo Kikuu cha Sokoine...
Read More
Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomoni Itunda ambaye amepata fursa ya kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampasi ya Mizengo Pinda kutokana na shughuli za ufugaji wa nyuki na kilimo. Mhe. Solomoni Itunda akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu...
Read More
Wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya Wananchi wakiendelea kujitokeza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika...
Read More
Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na  ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Thelathini ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Dr. Florens Turuka akisaini kitabu cha...
Read More