Latest News

Category

Vaileth Franc Chiwango, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki kutoka Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), ameshinda tuzo ya Mwanafunzi Bora wa Jumla wa chuo hicho katika sherehe za arobaini za tuzo za mwaka 2023 zilizofanyika tarehe 21 Novemba 2023. Sherehe hizo zilihudhuriwa na mgeni...
Read More
On November 10th, 2023, Mizengo Pinda Campus staff participated in a training session on utilizing a novel digital system to manage their personal employment data. This system, called Employee Self-Service (ESS), allows staff members to access, review, and update information related to their employment, including their details, pay slips, and benefits. In addition, ESS allows...
Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amefanya ziara ya kutembelea Kampasi ya Mizengo Pinda. Lengo kuu la ziara hiyo likiwa ni kusikiliza kero, kushughulikia changamoto za watumishi, na kutathimini maeneo ambayo yatajengwa majengo mapya matatu kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Majengo hayo ni...
Read More
Prof Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane Prof Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa Ndugu Naftari Leha ambaye ni Mwanafunzi anayetarajia kuhitimu mwaka huu katika Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki katika Chuo Kikuu cha Sokoine...
Read More
Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomoni Itunda ambaye amepata fursa ya kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampasi ya Mizengo Pinda kutokana na shughuli za ufugaji wa nyuki na kilimo. Mhe. Solomoni Itunda akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu...
Read More
Wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya Wananchi wakiendelea kujitokeza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika...
Read More
Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na  ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Thelathini ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Dr. Florens Turuka akisaini kitabu cha...
Read More
Hayo yamebainishwa na Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda ndugu Evaristus Magani katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
Read More
Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko  alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
Read More
Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya  bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara baada ya kupatiwa maelezo juu ya bidhaa hizo, Mhe. Mrindoko alizawadiwa mafuta ya alizeti. Mhe. Mwanamvua Mrindoko akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka Kwa...
Read More
1 2 3 4 6