Latest News

Category

Dr. Mshindo Msolla alipata nafasi hiyo ya kutembelea Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda wakati ya ziara yake ya kuwaendeleza wakulima wa nyanda za juu kusini kwa kuwaelimisha matumizi bora ya mbolea katika mazao. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof. Josiah Katani akiwa  na mgeni wake Dr. Mshindo Msolla  Mkurugenzi...
Read More
The University Examinations for the Odd Semester in 2022/2023 academic year will commence on Monday February 6, 2023 to February 17, 2023.
Read More
Katika zoezi hilo, Prof. Katani aliambatana na Naibu Rasi wa Ndaki Mipango, Utawala na Fedha Prof. Jeremia Makindara, Bwana Shamba wa Kamapasi ya Mizengo Pinda ndugu Tambalu Alphonsi pamoja na Mhadhiri Msaidizi katika fani ya Misitu ndugu Evaristus Magani. Ukaguzi huo ulilenga kuangalia namna bora ya uboreshwaji wa uwekaji wa mabango ya makatazo ya uingizwaji...
Read More
To capacitate students with practical skills of solving problems using scientific procedures and research ethics, students are assessed their ability and understanding on subject matter planned for research. The current intake has focused their research in bee resources commercialization, the interaction of human and natural resources, science of different organisms including insects, plants and animals....
Read More
Prof John Jeckoniah, Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa wafanyakazi na wawakilishi wa wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Mtaalamu wa masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) Prof John Jeckoniah...
Read More
Suala hilo limewekwa wazi na Mh Nape Nnauye, Mbunge na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa kwake katika taarifa fupi ya kampasi ya Mizengo Pinda iliyowasilishwa kwake na Rasi wa Kampasi Prof Josia Katani. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Prof. Josiah Katani akitoa taarifa fupi...
Read More
Kuwepo kwa Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi kumesaidia kuwafikia Wafugaji wa Nyuki ili kutoa elimu ya namna bora ya ufugaji wenye kuleta tija tofauti na ilivyokuwa awali kwani wakulima wengi wamekuwa wakifuga bila kuzingatia taratibu muhimu na kukosa uelewa juu ya mazao mengine yatokanayo na nyuki mbali na asali. Read More From the following...
Read More
1 2 3 4 5 6