Blog

🌟 A CALL FOR SEMINAR 🌟

We are delighted to invite all students to a mandatory seminar to provide valuable insights and guidance on key aspects of campus life and academic success. Topics to be Covered: ? General University and Examination Guidelines and Regulations ? Academic Advice and Wellbeing on Campus ? General Life Advice for a Fulfilling Campus Experience   […]

Michezo Huimarisha Afya

Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) Kampasi Ya Mizengo Pinda mbali na kufundisha, kufanya tafiti, kutoa ushauri wa kitaalamu na uzalishaji mali katika nyanja za kilimo, mifugo, maliasili na utalii, pia watumishi na wanachuo ushiriki katika mambo mbalimbali ya kijamii kama kuchangia damu,michezo. Katika Picha: Baadhi ya wachezaji wa timu ya watumishi wa Kampasi […]

Safari ya Mhitimu wa SUA Kuelekea Ujasiriamali wa Bidhaa Zitokanazo na Rasilimali  Nyuki

Katika picha, aliyeshika chupa za asali ni Dwasi Denis Johnson, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Anatumia ujasiriamali wa bidhaa zitokanazo na rasilimali nyuki, kama asali ya nyuki wakubwa na wadogo, katika maonesho ya Wiki ya Mwanakatavi ambayo hufanyika kila mwaka mkoani Katavi. Maonesho haya yana lengo la kuwakutanisha […]