Blog

Malkia Nyuki

[pdf-embedder url=”https://www.mizengopinda.sua.ac.tz/wp-content/uploads/2024/04/FINAL-Malkia-Nyuki-.pdf” title=”FINAL Malkia Nyuki”]

Student Government Leader Donates Study Benches to Enhance Campus Life.

  William Cosmas Bulongo, Chairperson of the Sokoine University of Agriculture Student Organisation (SUASO), Mizengo Pinda Campus, recently presented study benches to the Mizengo Pinda Campus Board. This donation highlights the student body’s commitment to improving campus facilities and supporting the university’s development. These study benches represent the collaborative spirit between students and the university […]

Mafunzo Elekezi kwa Wafanyakazi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kuhusu Ujazaji wa Mfumo wa Taarifa za Utendaji Kazi na Usimamizi wa Wafanyakazi wa Umma (PEPMIS).

Mafunzo ya kipekee yaliyofanyika katika Kampasi ya Mizengo Pinda yameleta mwanga mpya kwa wafanyakazi. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Naibu Rais Mipango, Utawala na Fedha, yalilenga kuwajengea uwezo wafanyakazi katika ujazaji wa Mfumo wa Taarifa za Utendaji Kazi na Usimamizi wa Wafanyakazi wa Umma (PEPMIS). Afisa Tawala Mkuu, Ndugu Holymisidasi Njungani, aliongoza mafunzo hayo, […]

Chairperson Professor Josiah Katani Conducts a Special Academic Committee Meeting at Mizengo Pinda Campus.

The Principal, Prof. Josiah Katani plays a pivotal role in overseeing the proceedings and ensuring that the committee’s recommendations align with the college’s standards and policies. The meeting likely took place at the MPCC Conference Hall within the campus. Held on March 18. 2024, has a crucial agenda to receive, consider, discuss, and recommend the odd semester examination results to the college board. This process […]

Bodi ya Ukaguzi ya SUA Yafanya Ziara katika Kampasi ya Mizengo Pinda

Katika jitihada za kuimarisha ubora wa elimu na utafiti, Bodi ya Ukaguzi ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) ilifanya ziara ya kikazi kwenye Kampasi ya Mizengo Pinda tarehe 13 Machi 2024. Ziara hii ilikuwa na lengo la kukagua maendeleo na shughuli mbalimbali zinazoendelea kampasini, ikiwa ni pamoja na miradi mipya ya maendeleo. Wajumbe Waliotembelea, Dkt. […]

Beekeeping in Action: Mizengo Pinda Students Maintain Hive Health

At Mizengo Pinda Campus, second-year students of the Bee Resource Management course have taken a hands-on approach to learning. They have been actively involved in hive-cleaning activities at Vilolo Farm. One of the students, Simon Ritha Mruma, was photographed while meticulously cleaning a hive. This process is vital for maintaining the health of bee colonies […]