Latest News

Category

Madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wamefanya ziara fupi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, madiwani hao waliongozana na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo pamoja na mwenyeji wao mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mh. Silas Ilumba na mkurugenzi wa Halmashauri ya...
Read More
Prof. Chibunda amewataka watumishi wa Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda kufanyakazi kwa ushirikiano ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika kampasi hiyo. Aliyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika Kampasi ya Mizengo Pinda Novemba 7 – 8, 2022. Katika ziara hiyo, Prof. Chibunda alipokea ripoti ya utekelezaji...
Read More
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amewataka wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kutumia vyema Elimu wanayoipata ili waweze kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kujiunga na kujisajili  katika vikundi ili waweze kupata pesa na kuendesha miradi ya ujasiriamali kama ufugaji wa nyuki, kutoa elimu kwa jamii juu ya...
Read More
The orientation week started on Monday October 24, 2022 with students receiving orientation seminars on various topics such as sexual corruption, citizenship, and respect for the country’s constitution and laws Mr Robert Donah Layaway, an officer from the Office of Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Mlele District in Katavi Region, instructed students on...
Read More
Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awataka wakuu wa idara kutimiza wajibu wao. Ameyasema hayo wakati akipokea taarifa za utendaji kazi kutoka katika idara za Uendeshaji na idara za Taaluma za Kampasi hiyo katika kikao cha Wakuu wa Idara kilichofanyika leo tarehe 18 – 10 – 2022. Pia Prof Katani amewataka wakuu...
Read More
Timu ya Watumishi wa Kampasi ya Mizengo Pinda yatinga hatua ya fainali ya michuano ya VC CUP baada ya kuitoa timu ya Watumishi wa Tanesco Kibaoni kwa mikwaju ya penati. Wakati nusu fainali ya pili ilipigwa kati ya Watumishi Tamisemi Usevya dhidi ya Watumishi wa Muda SUA – MPCC, mchezo uliomalizika kwa mabao 2–1 na...
Read More
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Techknolojia, Mh. Omary Juma Kipanga akiteta jambo na mwenyeji wake Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda, Prof Josiah Katani na mkuu wa wilaya ya  Mlele Mh Sanga pindi alipotembelea katika kampasi hiyo. Wakati huohuo Mh. Kipanga alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa SUA, Viongozi wa halmashauri ya Mlele...
Read More
Students pursuing a certificate in tour guiding and hunting operation visited Katavi National Park for the purpose of  seeing and studying some of the Tanzania mammalian and fauna, as part of their course train Student on the Guided nature walks Students were able to take a guided nature walk in the forest and come in...
Read More
1 3 4 5 6